Sunday, November 17, 2013

Kinagaubaga: CHADEMA yasema haina mgogoro


Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Kutoka kushoto ni Freeman Mbowe (Chadema), Ibrahim Lipumba (CUF) na Augustine Mrema (TLP).
Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye habari kwamba kuna mgogoro unaofukuta kwenye uongozi wa juu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Kinagaubaga inauliza kuna nini huko ndani?
Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene, anaelezea kwenye mahojiano haya na Mohammed Khelef kwamba mambo ndani ya chama chake ni shwari, licha ya kwamba wanakabiliwa na hujuma "kutoka nje". Kusikiliza mahojiano haya ya Kinagaubaga, bonyeza alama hapo chini.



No comments:

Post a Comment