Wednesday, November 20, 2013
Monday, November 18, 2013
Naibu mkuu wa usalama wa taifa nchini Libya, Mustafa Noah, ameachiliwa huru siku moja baada ya kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha karibu na uwanja wa ndege wa Tripoli.
mapigano Tripol, libya |
Wakati akitekwa hakuwa na walinzi wake.Libya imekuwa katika hali ya wasiwasi tangu watu arobaini wauawe na mamia wengine kujeruhiwa katika mapigano makali Ijumaa iliyopita.
Mapigano hayo yaliwahusisha wanamgambo na waandamanaji, ambao walikuwa wakijaribu kuwafukuza wanamgambo kutoka mji mkuu Tripoli.
Serikali imekuwa ikijitahidi kuwafukuza wanamgambo hao.
Mgomo wa kutaka wanamgambo waondolewe kutoka Tripoli, umedumu kwa siku tatu.
Waziri Mkuu, Ali Zeidan, alitekwa nyara kwa muda mfupi mwezi uliopita
Sunday, November 17, 2013
Yanga na Mshambuliaji wa zamani Okwi
mshambuliaji wa zamani wa simba sc Emmanuel Okwii |
Kinagaubaga: CHADEMA yasema haina mgogoro
Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Kutoka kushoto ni Freeman Mbowe (Chadema), Ibrahim Lipumba (CUF) na Augustine Mrema (TLP).
Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye habari kwamba kuna mgogoro unaofukuta kwenye uongozi wa juu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Kinagaubaga inauliza kuna nini huko ndani?
Subscribe to:
Posts (Atom)